Imaam Ibn Taymiyyah: Mja Kuchukia Dhambi Na Kuiacha Ataongezewa Wema
Mja Kuchukia Dhambi na Kuiacha Ataongezewa Wema
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Amesema Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):
"Kila ambaye nafsi yake itamhadithia juu ya dhambi, kisha akaichukia na kujiepusha nayo na kuiacha, atazidishiwa wema na kumcha Allaah."
[Majmuw' Al-Fataawa, 1/867]
