Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Hatukuja Hapa Kuishi Kama Wanyama
Hatukuletwa Duniani Kuishi Kama Wanyama
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
"Hatukuja kuishi katika haya maisha ya dunia kama wanavyoishi wanyama; tule, tunywe na kulala tu. Bali, tumekuja hapa duniani ili kujiandaa na kutanguliza ('amali za) Aakhirah."
[Sharh Al-Kaafiyah Ash-Shaafiyah Fiy Intiswaar Lil Firqat An-Naajiyah, 4/379]
