Imaam Hasan Al-Baswriy: Dunia Ni Kama Mtu Aliyelala Akaota Ndoto Anayoipenda Kisha Ghafla Akazindukana
Dunia Ni Kama Mtu Aliyelala Akaota Ndoto Anayoipenda Kisha Ghafla Akazindukana
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
Imaam Al-Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Dunia mwanzo wake na mwisho wake si chochote isipokuwa kama mfano mtu aliyelala, akaota usingizini mwake ndoto anayoipenda kisha (ghafla ikakatika) akazindukana.”
[Al-Majaalisah Wa Jawaahir Al-‘Ilm (2130]
