Imaam Ibn Taymiyyah: Muziki Ni Mvinyo Wa Nafs

 

 

Muziki Ni Mvinyo Wa Nafs

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Muziki (na ala zake) ni mvinyo wa nafsi; unaathiri nafsi zaidi ya pombe inavyoathiri inavyonywewa (inavyolewesha)."

 

[Majmuw' Al-Fataawaa, mj.10, uk.417]
 

 

Share