Imaam Ibn Al-Qayyim: Ikhtilaatw Ni Asili Ya Balaa Na Shari Na Sababu Ya Kuteremshwa Adhabu
Ikhtilaatw Ni Asili Ya Balaa Na Shari Na Sababu Ya Kuteremshwa Adhabu
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
Hakuna shaka kwamba kuwawezesha (kuwaachia) wanawake wakafanya ikhtilaatw na wanaume, ni chanzo cha kila balaa na shari, nayo ndio sababu kuu ya kuteremshwa adhabu kwa wote.
[Atw-Twuruq Al-Hukmiyyah (329)]
Ikhtilaatw: Kuchanganyika wanawake na wanaume wasio mahaarim zao.