Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn Taymiyyah: Mipaka Ya Kumkhofu Allaah Ni Kujizuia Kutenda Madhambi
Imaam Ibn Taymiyyah: Mipaka Ya Kumkhofu Allaah Ni Kujizuia Kutenda Madhambi
Mipaka Ya Kumkhofu Allaah Ni Kujizuia Kutenda Madhambi
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
www.alhidaaya.com
Imaam Ibn Al-Qayyim amesema:
“Nilimsikia Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah akisema: “Mipaka ya khofu ni lenye kukuzuia kumuasi Allaah, kwa hiyo mengineyo zaidi ya hivyo hayahitajiki.”
[Jaami’ Al-Adaab (1/348)]