Al-Lajnah Ad-Daaimah: Nembo Ya Moyo Haifai
Nembo Ya Moyo Haifai!
Al-Lajanah Ad-Daaimah
Kamati Ya Kudumu Ya Utafiti Wa Kielimu Na Utoaji Fatwa:
...Kama ambavyo ina 'nembo ya moyo wa mapenzi' kujifananisha na watu waovu (Mafaasiq) ambao wanatumia hizi nembo kwa kuthibitisha mapenzi yao ya haraam kwa wenzao. Na wanajitolea kwa nguvu na juhudi kwa (jambo) hilo bila kujali kutazama hukmu ya shariy'ah iliyotwaharika inasemaje kuhusu hilo.
[Al-Lajnatu Ad-Daaimah Lil-Buhuwth Al-'Ilmiyyah Wal-Iftaa, mj. 24, uk. 92]