Imaam Ibn Rajab: Sha'baan: Hikmah Ya Kukithirisha Swiyaam Katika Sha’baan
Hikmah Ya Kukithirisha Swiyaam Katika Sha’baan
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)
Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:
“Kwa vile mwezi wa Sha’baan ni mwezi wa kabla ya Ramadhwaan, basi yaliyohukumiwa humo ni kama yaliyohukumiwa katika Sha’baan kama Swiyaam na kusoma Qur-aan ili kujitayarisha kukutana na Ramadhwaan na kuzizoesha nafsi kwa haya katika kumtii Ar-Rahmaan”
[Latwaaif Al-Ma’aarif, uk. 135]