Kibarua Cha Kufanyia Kazi Sehemu Za Ma'asi
SWALI
Assalaama-alaykum,
Nnaomba kuuliza suala langu ambalo linahusika na uajiri. Mimi nnafanya kazi
Wabillahi tawfik.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Ni muhimu tufahamu ya kwamba haifai kwa Muislamu kusaidia katika ujenzi wa sehemu ambazo zitaleta uadui, uchafu na maasiya katika ardhi. Allaah anatuambia:
“Na saidianeni katika wema na uchamngu. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Allaah. Hakika Allaah ni Mkali wa kuadhibu” (5: 2).
Inavyotakiwa ni umueleze muajiri wako kuhusu
“Na anayemcha Allaah, Humtengezea njia ya kutokea. Na Humruzuku kwa jiha asiyotazamia. Na anayemtegemea Allaah Yeye Humtosha. Hakika Allaah Anatimiza amri Yake. Allaah Kajaalia kila kitu na kipimo chake” (65: 2 – 3).
Na Allah Anajua zaidi