Imaam Ibn Baaz: Makosa Yaliyoenea Kwenye Ndimi Za Watu-02: Kauli "Kwa Haki Ya Muhammad"
Makosa Yaliyoenea Kwenye Ndimi Za Watu - 02
Kauli "Kwa Haki Ya Muhammad"
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
"Haijuzu kusemwa 'Kwa Haki Ya Muhammad' wala kusemwa 'Kwa Jaha Ya Muhammad' wala kusemwa 'Kwa Haki Ya Manabii' wala kwa (maneno) mengine mfano wa hayo; kwani kauli kama hizo ni bid'ah."
[Al-Fataawaa, mj. 9, uk. 327]
