Hudhayfah Bin Al-Yamaani: Fuateni Njia Ya Waliowatangulia
Fuateni Njia Ya Waliowatangulia (Nao Ni Maswahaba)
Hudhayfah Bin Al-Yamaani (Radhwiya Allaahu ‘anhu)
“Mcheni Allaah enyi hadhara ya Maquraa. Fuateni njia ya walio kabla yenu, kwani wa-Allaahi, mkitanguliza (yenu mkaacha ya waliowatangulia - Maswahaba), mtakuwa mmetangulia mbali, na mkiyaacha kuliani na kushotoni basi mtapotoka upotofu wa mbali.”
[Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/90)]
