Imaam Fudhwayl Bin ‘Iyyaadhw - Ibliys Akikuteka Kwa Mojawapo Ya Mambo Matatu; Amekumaliza
Ibliys Akimteka Mwana Aadam Kwa Mojawapo Ya Mambo Matatu; Amekumaliza
Imaam Fudhwayl Bin ‘Iyyaadhw (Rahimahu Allaah)
“Ibliys akimteka mwana Aadam kwa mojawapo ya matatu husema: “Basi sitotafuta jingine kutoka kwake; Kujiona (kiburi), kudhania 'amali zake ni nyingi na kusahau madhambi yake.”
[Siyar A’laam An-Nubalaa li Imaam Adh-Dhahabiy]
