Imaam Ibn Taymiyyah: Dini Ya Kiislamu Ina Misingi Miwili
Dini Ya Kiislamu Ina Misingi Miwili
Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com
Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Dini Ya Kiislamu imejengwa kwa asili mbili nazo ni uthibitisho wa Shahaadah kwamba laa ilaaha illa-Allaah na kwamba Muhammad ni Rasuli wa Allaah.”
[Majmuw’ Al-Fataawaa (1/310)