Imaam Ibn Taymiyyah: Amali Njema Kabisa Ni Tawhiyd Na Ovu Kabisa Ni Shirki
‘Amali Njema Kabisa Ni Tawhiyd Na Ovu Kabisa Ni Shirki
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah amesema:
‘Amali njema kabisa ni Tawhiyd na ‘amali ovu kabisa ni shirki, Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) :
إِنَّ اللَّـهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ
48. Hakika Allaah Haghufurii kushirikishwa; lakini Anaghufuria yasiyokuwa hayo kwa Amtakae. [An-Nisaa: 48 , 116]
[Majmuw’ Al-Fataawaa (11/252)]