Imaam Mujaahid: Katika Neema Mbili Allaah Alizonipa Sijui Ipi Ni Kubwa Zaidi
Katika Neema Mbili Allaah Alizonipa Sijui Ipi Ni Kubwa Zaidi
Mujaahid (Rahimahu Allaah)
Mujaahid (Rahimahu Allaah) amesema:
“Katika Neema mbili juu yangu (Alizoniruzuku Allaah) sijui ipi ni kubwa zaidi; Kuniongoza Kwake (Allaah) kwenye Uislamu, au Kunihifadhi Allaah kutokana na matamanio (upotofu).”
[Muqaddimatu Sunnan Ad-Daarimiy, mj. 1, uk. 92]
