Imaam Ibn Taymiyyah: Dini Ya Kiislaam Imejengewa Kwa Misingi Miwili
Dini Ya Kiislaam Imejengewa Kwa Misingi Miwili
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Dini ya Kiislaam imejengewa misingi miwili: Kuthibitisha “Ash-hadu an-laa ilaaha illa-Allaah wa anna Muhammadan Rasuwlu-Allaah – hakuna Muabudiwa wa haki isipokuwa Allaah na Muhammad ni Rasuli wa Allaah.”
[Majmu’w Al-Fataawaa (1/301)]
