009-Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kutakaswa Madhambi Kama Inavyotakaswa Nguo Nyeupe Kutokana Na Uchafu
Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
Kuomba -Kutakaswa Madhambi Na Makosa Kama Inavyotakaswa
Nguo Nyeupe Kutokana Na Uchafu
اللَّهُمَّ طَهِّرْنِي مِنَ الذُّنُوبِ وَالْخَطَايَا، اللَّهُمَّ نَقِّنِي مِنْهَا كَمَا يُنَقَّى الثَّوْبُ الْأَبْيَضُ مِنَ الدَّنَسِ، اللَّهُمَّ طَهِّرْنِي بِالثَّلْجِ وَالْبَرَدِ وَالْمَاءِ الْبَارِدِ
Allaahumma Twahhirniy minadh-dhunuwbi wal khatwaayaa, Allaahumma naqqiniy minhaa kamaa yunaqqath-thawabul-abyadhwu minad-ddanasi, Allaahumma Twahhirniy bith-thalji walbaradi walmaail-baridi
Ee Allaah, Nitakase madhambi na makosa. Ee Allaah, nitakase dhidi ya hayo kama inavyotakaswa nguo nyeupe kutokana na uchafu. Ee Allaah, nitwaharishe kwa theluji, na barafu na maji ya baridi [At-Tirmidhiy, An-Nasaaiy]