01-Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Ipi Bora Kusoma Qur-aan Au Tafsiyr Katika I`tikaaf?

Ipi Bora Kusoma Qur-aan Au Tafsiyr Katika I`tikaaf?

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan

 

www.alhidaaya.com

 

SWALI:

 
Ipi bora kwa mwenye kukaa I´tikaaf, kusoma Qur-aan tu au kusoma Tafsiyr na kuizingatia? 

 

JIBU:

Kusoma Qur-aan ni bora zaidi kwa kuwa kisomo chake kina fadhila katika Ramadhwaan kuliko (miezi mengine). Ama kusoma tafsiri anaweza kufanya hilo wakati mwingine si katika hali ya I´tikaaf. Usomaji wa Qur-aan ubora wake ni wakati wa I´tikaaf, na kujishughulisha kwake kusoma Qur-aan huku anahifadhi ni bora zaidi kuliko kusoma Tafsiyr. 

 

[Al-Mawqi’ Ar-Rasmiy - Shaykh Swaalih Al-Fawzaan]

 

 

 

 

Share