08-Imaam Ibn Baaz: Vipi Kuzifunga Swiyaam Za Sitta Shawwaal?
Vipi Kuzifunga Swiyaam Za Sitta Shawwaal?
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
"Muumini huchagua atakavo kuzifunga katika mwezi wote; akitaka afunge mwanzo wake, au katikati yake au mwishoni mwake, na akitaka afunge kwa kutofululiza, na akitaka afululize."
[Al-Fataawaa (15/390)]
