02-Imaam Ibn Baaz Na Al-Lajnah Ad-Daimah: Hukmu Ya Kunadi Kwa Ajili Ya Swalaah Ya ‘Iyd
Hukmu Ya Kunadi Kwa Ajili Ya Swalaah Ya ‘Iyd
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) Na Al-Lajnah Ad-Daimah
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
"Kunadi kwa ajili ya Swalaah ya ‘Iyd ni bid’ah, haina asili."
[Majmuw’ Al-Fataawaa (13/23)]
Al-Lajnah Ad-Daimah wamesema:
"Kunadi kwa ajili ya Swalaah za ‘Iyd mbili haijuzu bali hivyo ni bid’ah."
[Al-Lajnah Ad-Daimah (8//316)]