05-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wakati Gani Inasomwa Du’aa Ya Kufungulia Katika Swalaah Ya ‘Iyd?

Wakati Gani Inasomwa Du’aa Ya Kufungulia Katika Swalaah Ya ‘Iyd?

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Du’aa ya kufungulia Swalaah inasomwa baada ya Takbiyrah Al-Ihraam na ni jambo lenye wasaa katika hili hata ikiwa atachelewesha kusoma du’aa ya kufungulia pale mwishoni mwa Takbiyrah hakuna ubaya."

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/240)]

 

 

Share