10-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ikiwa Ameingia Swalaah Ya ‘Iyd Wakati Imaam Amemaliza Rakaa Ya Kwanza; Ailipe?
Ikiwa Ameingia Swalaah Ya ‘Iyd Wakati Imaam Amemaliza Rakaa Ya Kwanza; Je, Ailipe?
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
www.alhidaaya.com
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
"Ailipe anapomaliza Imaam kutoa salaam, yaani ailipe kwa kuleta Takbiyrah zake."
[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/256)]