Ukurasa Wa Kwanza /Al-Lajnah Ad-Daaimah: Ukiswali Swalaah Ya Ijumaa Nyumbani Ni Batili
Al-Lajnah Ad-Daaimah: Ukiswali Swalaah Ya Ijumaa Nyumbani Ni Batili
Ukiswali Swalaah Ya Ijumaa Nyumbani Ni Batili
Al-Lajnah Ad-Daaimah
www.alhidaaya.com
Atakayeswalisha ahli zake Swalaah ya Ijumaa nyumbani, anapaswa airudie kwa kuiswali Swalaah ya Adhuhuri, wala Swalaah (hiyo) ya Ijumaa (walioiswali nyumbani) haisihi kwao.
[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/196)]