Imaam Ibn Rajab: Sha'baan: Kukithirisha Swawm Na Kusoma Qur-aan Sha'baan Kwa Maandalizi Ya Ramadhwaan
Kukiithirisha Swawm Na Kusoma Qur-aan Katika Sha'baan Kwa Maandalizi Ya Ramadhwaan
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:
"Kwa kuwa Sha'baan ni kitangulizi cha Ramadhwaan, kisomo cha Qur-aan na Swawm katika Sha'baan ni yaliyohimizwa kama tufanyavyo katika Ramadhwaan."
[Latwaaif Al-Ma'arif, uk. 258]
