08-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kuosha Vijiwe Kwa Ajili Ya Jamaraat
Kuosha Vijiwe Kwa Ajili Ya Jamaraat
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
SWALI:
Nini hukmu ya kuosha mawe kwa ajili ya Jamaarat? (Sehemu za kurusha vijiwe)
JIBU:
Yasioshwe, kwani kufanya hivyo kwa niyyah ya ‘ibaadah kwa ajili ya Allaah, huwa ni bid’ah kwa sababu Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hakufanya hivyo.
[Al-Bid'ah wal-Muhdathaat wa maa laa aswla lahu – Uk. 404]
