Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kumpendelea Nduguyo Muumini Unayojipendelea Nafsi Yako
Kumpendelea Nduguyo Muumini Unayojipendelea Nafsi Yako
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Ikiwa humpendelei nduguyo (Muumin) kile ambacho unajipendelea nafsi yako, basi jua kwamba unaelekea katika miongoni mwa madhambi makubwa."
[Fat-hu Dhil-Jalaali Wal-Ikraam (3536)]
