Shaykh Fawzaan: Miongoni Mwa Sababu Za Kuthibiti Kwa Dini Ni Kufanya Urafiki Na Swalihina
Miongoni Mwa Sababu Za Kuthibiti Kwa Dini Ni Kufanya Urafiki Na Swalihina
Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Amesema Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu-Allaah)
Usuhuba na waja wema hufaidika nao hata wanyama. Kama ilivyotokea kwa yule mbwa aliyekuwa pamoja na watu wa Al-Kahf (Aswhaabul Kahf), hivyo hata zile Baraka zilimhusisha (yeye mbwa).
[Al-Khutwbah Al-Minbariyyah uk 114]
