Imaam Al-Awzaa'iy: Kunyamaza Kimya Na Kutengana Na Watu Ni Al-‘Aafiyah (Salama, Amani Na Kila Balaa Na Shari)

 

Kunyamaza Kimya Na Kutengana Na Watu

Ni Al-‘Aafiyah (Salama, Amani Kutokana Na Kila Balaa Na Shari)

 

Imaam Al-Awzaa’iy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Al-Awzaaiy (Rahimahu Allaah) amesema maneno yanayotakiwa kuandikiwa kwa wino wa machozi:

 

“Al-‘Aafiyah ni mafungu kumi. Mafungu tisa katika hayo ni kunyamza, na fungu ni kujitenga kwako na watu.”  [Al-‘Uzlah Wal-Infiraad (29)]

 

 

Maana ya Al-‘Aafiyah:

 

Al-‘Aafiyah ni neno linalojumuisha  Allaah (عزّ وجلّ)  kumjaalia mja Wake salama na kumpa amani, na kumlinda na maradhi, balaa, majanga, madhara, misukosuko, na kila aina za shari za wanaadam na majini na kubakia salama katika Dini yake na Aakhirah yake.  

 

 

 

Share