Imaam Al-Barbahaariyy : Kuficha Nasaha Kwa Waislamu Katika Mambo Ya Dini Yao Ni Kuwaghushi
Kuficha Nasaha Kwa Waislamu Katika Mambo Ya Dini Yao Ni Kuwaghushi
Imaam Al-Barbahaariyy (Rahimahu Allaah)
Imaam Al-Barbahaariyy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Wala haipasi kuficha kuwanasihi Waislamu kuhusu kufanya kwao wema, au maovu katika mambo ya Dini, na atakayeficha basi atakkuwa ameghushi Waislamu.”
[Sharh As-Sunnah (Uk. 76)]
