Imaam Ibn Taymiyyah: Sababu Za Kupanda Na Kushuka Bei Za Bidhaa
Sababu Za Kupanda Na Kushuka Bei Za Bidhaa
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
“Kupanda bei (bidhaa) kunaweza kuwa kwa sababu ya dhulma za waja (watu), na kushuka bei (bidhaa) kunaweza kuwa sababu ni wema wanaoufanya baadhi ya watu.”
[Majmuw’ Al-Fataawaa, mj. 8, uk. 519]
