Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kutokumpendelea Nduguyo Unayoyapendelea Nafsi Yako Tambua Unang'ang'ana Madhambi
Ikiwa Hutompendelea Nduguyo Yale Unayopendelea Nafsi Yako
Basi Tambua Unang'ang'ana Katika Madhambi
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
“Ikiwa humpendelei nduguyo yale unayojipendelea mwenyewe (nafsi yako), basi tambua kwamba unang'ang'ana katika dhambi miongoni mwa madhambi makubwa.”
[Fat-hu Dhil-Jalaali Wal-Ikraam (3/53)]