Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Miongoni Mwa Sababu Za Moyo Wa Huruma Na Kurudi Kutubia Kwa Allaah
Miongoni Mwa Sababu Za Moyo Wa Huruma Na Kurudi Kutubia Kwa Allaah
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Tambua kwamba kushikamana na walio dhaifu na Mayatima na Watoto wadogo inaingiza Rahmah katika moyo na kuufanya laini na wenye huruma na kurejea kutubia kwa Allaah (‘Azza wa Jalla).” [Sharh Riyadhw Asw-Swaalihiyn (3/89)]