Imaam Ibn Al-Qayyim: Miongoni Mwa Neema Neema Za Ajabu Ni Neema Ya Kusahau
Miongoni Mwa Neema Neema Za Ajabu Ni Neema Ya Kusahau
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
Imaam Al-Haafidhw Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
"Na katika neema za ajabu ni neema ya kusahu; kwani ingekuwa si kusahau, asingepuuzia jambo, na wala zisingemalizika kwake huzuni, na wala asingejiliwaza kwa msiba, na wala zisingekufa kwake huzuni."
[Miftaahu Daar As-Sa’aadah (236)]