14-Zawadi Kwa Wanandoa: Siku Ya Mwanzo Ya Ndoa

 

 

Zawadi Kwa Wanandoa

 

14-Siku Ya Mwanzo Ya Ndoa

 

ليلة الزّفاف

 

 

 

 Siku hii ndio siku ya mwanzo ya ndoa, ni siku ambayo yenye athari kubwa katika maisha ya Mwanamme Bwana harusi na Mwanamke Bibi harusi kwa matokeo yoyote ya matendo ya siku hii.

 

Ni vizuri na muhimu sana kwa siku hii ya leo kwa mume kumfanyia upole mkewe na kuzungumza nae na kumzoea na kumuondoa khofu, na vizuri washauriwe wanandoa hawa wapya kuwa na utulivu na wasiwe na pupa yoyote ya jambo, maisha ni marefu na yana wasaa na siku zinakuja hakuna haja ya haraka.

 

Katika siku hii muhimu sana kwa wanandoa hawa ni vizuri kuchunga miiko ifuatayo:

 

 

Share