17-Zawadi Kwa Wanandoa: Unapomwingilia Mkeo
Zawadi Kwa Wanandoa
17-Kinachosemwa Unapomwingilia Mkeo
ما يقال عند الجماع
Mume anaomba anapomuingilia mkewe kwa du'aa aliyofundisha Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) :
بسم الله اللهّم جنّبنا الشيطان وجنّب الشيطان ما رزقتنا
“BismiLLaah, Ee Allaah, tuepushie sheitani na Umuepushe kwa kile Utakachoturuzuku.” (Al-Bukhaariy na Muslim)
