Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kubusu Mswahafu Na Kujipangusia Usoni Baada Ya Kusoma Qur-aan
Kubusu Mswahafu Na Kujipangusia Usoni Baada Ya Kusoma Qur-aan
Al-Lajnah Ad-Daaimah
SWALI:
Tunaona baadhi ya ndugu wanapomaliza kusoma Qur-aan huibusu na kujipangusia nayo usoni, je hii imo katika Shariy’ah?
JIBU:
Jambo hilo hatulijui dalili yake katika Shariy’ah ilyotwaharika.
Wa biLLaahi at-tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyina Muhammad wa aalihi wa Swahbihi wa sallam.
[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (45/97)]
