Al-Lajnah Ad-Daaimah: Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mtu (Mwanamme)
Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mtu (Mwanamme)
Al-Lajnah Ad-Daaimah
Swalaah ya Ijumaa ni Fardhw ‘Ayn (Fardhi kwa kila mtu mwanamme) wala haijuzu kuiacha kwa sababu ya kazi au masomo na sababu kama hizo.
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):
“Na yeyote anayemcha Allaah; Atamjaalia njia ya kutoka (shidani).”
[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/184)]
