Al-Lajnah Ad-Daaimah: Je, Kundi La Shia Ithnaa 'Ashariyyah Lipo Katika Uislamu?
Je, Kundi La Shia Imaamiyyah (Shia Ithnaa 'Ashariyyah
(Mashia Wanaofuata Maimaam 12) Lipo Katika Uislamu?
Al-Lajnah Ad-Daaimah
SWALI:
Je, Shia Imaamiyyah ni katika dhehebu la Uislamu? Nani aliyeliunda? Kwa sababu, wao, yaani Mashia, wananasibisha dhehebu lao kwa ‘Aliy (Radhwiya Allaahu ‘anhu).
JIBU:
Madhehebu ya Shia Imaamiyyah ni dhehebu lililozushwa ambalo limehusishwa (kunasibishwa na kupachikwa) ndani ya Uislamu.
Tunakushauri kusoma kitabu cha Al-Khutwuwtw Al-‘Ariydhwah na Mukhtasar At-Tuhfah Al-Ithnaa ‘Ashariyyah na Minhaaj As-Sunnah vya Shaykh Al-Islaam (Ibn Taymiyah), ambavyo vinaeleza mengi kuhusiana na uzushi wao.
[Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah (2/377)]
‘Abdul-‘Aziyz bin ‘Abdilllaah bin Baaz (Mwenyekiti)
‘Abdur-Razzaaq ‘Afiyfiy (Mjumbe)
‘Abdullaah bin Ghadyaan (Mjumbe)