Imaam Ibn Rajab: Hakuna Dalili Kuzaliwa Kwa Nabiy Au Kupewa Unabiy Katika Mwezi Wa Rajab

 

 Hakuna Dalili Kuzaliwa Kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) 

Au Kupewa Unabiy Katika Mwezi Wa Rajab

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Iliripotiwa kuwa ilikuwa katika mwezi wa Rajab kwamba kulikuwa na matukio makubwa, na hakuna hata moja ya hayo yaliyo sahihi. Ikasemwa kuwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alizaliwa usiku wa kwanza, na kwamba alipewa Unabii  siku ya ishirini na saba ya mwezi huo, na ikasemwa kuwa siku ya ishirini na tano, lakini hakuna kilichokuwa sahihi katika hayo.”    [Latwaaif Al-Ma’aarif (290)]

Share