Imaam An-Nawawiy: Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa
Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa
Imaam An-Nawawiy (Rahimahu-Allaah)
Imaam An-Nawawiy amesema kuhusu Swalaatur-Raghaaib (inayoswaliwa mwezi wa Rajab): “Hiyo ni bid’ah inayochusha na inayokanushwa kwa nguvu, imejumuisha maovu kadhaa. Hivyo inapaswa kuachiliwa mbali na kukemewa kwa mwenye kuitekeleza.”
[Fataawaa Imaam An-Nawawiy (Uk. 57)]