Imaam As-Sa'dy: Misingi Mitatu Ya Dini Kuamini Khabari Za Wahyi Kufuata Amri Na Kuacha Makatazo
Misingi Mitatu Ya Dini Kuamini Khabari Za Wahyi Kufuata Amri Na Kuacha Makatazo
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu-Allaah)
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Dini imesimama katika misingi mitatu:
1-Kuamini khabari za Allaah na Rasuli Wake
2-Kufuata amri za Allaah na Rasuli Wake
3-Kujiepusha makatazo Yao.”
[Al-Qawl As-Sadiyd (Uk 141)]
