014-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kutoka Msikitini
Hiswnul-Muslim
014-Du’aa Ya Kutoka Msikitini
[21]
بِسمِ الله وَالصّلاةُ وَالسّلامُ عَلَى رَسولِ الله، اللّهُـمَّ إِنّـي أَسْأَلُكَ مِـنْ فَضْـلِك، اللّهُـمَّ اَعْصِمْنـي مِنَ الشَّيْـطانِ الرَّجـيم
BismiLLahi wasw-swalaatu was-salaamu ’alaa RasuwliLLaah Allaahumma inniy as-aluka min fadhwlika Allaahumma a-’swimniy minash-shaytwaanir-rajiym
Kwa Jina la Allaah na Rehma na amani zimfikie Rasuli wa Allaah. Ee Allaah hakika mimi nakuomba katika fadhila Zako. Ee Allaah nitenge mbali na shaytwaan aliyeepushwa na Rehma Zako [aliyelaaniwa] [1].
[1]Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) . Angalia matoleo ya wasimulizi wa Hadiyth zilizopita namba (20) na ziada:
اللّهُـمَّ اَعْصِمْنـي مِنَ الشَّيْـطانِ الرَّجـيم
((Allaahumma a-’swimniy minash-shaytwaanir-rajiym – Ee Allaah Nitenge mbali na shaytwaan aliyeepushwa na Rehma Zako)) ya Ibn Maajah. Angalia: Swahiyh Ibn Maajah (1/129)