066-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kutaka Mvua Iondoke (Wakati Itakapoleta Madhara)
Hiswnul-Muslim
066-Du’aa Ya Kutaka Mvua Iondoke (Wakati Itakapoleta Madhara)
[174]
اللّهُمَّ حَوالَيْنا وَلا عَلَيْـنَا، اللّهُمَّ عَلى الآكَـامِ وَالظِّـرابِ، وَبُطُـونِ الأوْدِيةِ، وَمَنـابِتِ الشَّجَـرِ.
Allaahumma hawaalaynaa walaa ’alaynaa. Allaahumma ’alal aakaami wadh-dhwiraab, wa butwuunil awdiyah, wamanaabitish-shajar
Ee Allaah, Inyesheleze kwetu wala isiwe yenye kutuangamiza. Ee Allaah Inyesheleze kwenye vichaka na milima na mabonde na kwenye mizizi ya miti[1].
[1]Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy (1/224) [1013]. Muslim (2/614) [897].
