067-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuona Mwezi Unapoandama
Hiswnul-Muslim
067-Du’aa Ya Kuona Mwezi Unapoandama
[175]
اللهُ أَكْـبَر، اللّهُمَّ أَهِلَّـهُ عَلَيْـنا بِالأمْـنِ وَالإيمـان، والسَّلامَـةِ والإسْلامِ، وَالتَّـوْفيـقِ لِما تُحِـبُّ وَتَـرْضَـى، رَبُّنـا وَرَبُّكَ اللهُ.
Allaahu Akbar, Allaahumma Ahillahu ‘alaynaa bil amni wal iymaani, wassalamaati wal Islaami, wattawfiyqi limaa Tuhibbu Rabbunaa watardhwaa Rabbuna wa Rabbuka-Allaah
Allaah ni Mkubwa, Ee Allaah, Uanzishe kwetu kwa amani na iymaan, na usalama na Uislamu, na taufiqi ya kile Unachokipenda Rabb wetu na kukiridhia, Rabb wetu na Rabb wako ni Allaah[1]
[1]Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Umar (رضي الله عنهما) - AT-Tirmidhiy (5/504) [3451], Sunan Ad-Daarimiy kwa tamshi lake (1/336), Ahmad kwa kauli tofauti kidogo, na taz Swahiyh At-Tirmidhiy (3/157).