087-Hiswnul-Muslim: -Du’aa Ya Kumuombea Aliyekufanyia Wema
Hiswnul-Muslim
087-Du’aa Ya Kumuombea Aliyekufanyia Wema
[198]
جَزاكَ اللهُ خَـيْراً
Jazaaka-Allaahu khayraa (mwanamume mmoja)
Allaah Akujaze kheri[1]
جَزاكِ اللهُ خَـيْراً
Jazaaki-LLaahu khayraa (mwanamke mmoja)
جَزاكُمُ اللهُ خَـيْراً
Jazaakumu-Allaahu khayraa (wengi)
[1]Hadiyth ya Usaamah bin Zayd (رضي الله عنه) -
((مَنْ صُنِعَ إِلَيْهِ مَعْرُوفٌ فَقَالَ لِصَاحِبِهِ: جَزَاكَ اللَّهُ خَيْرًا. فَقَدْ أَبْلَغَ فِي الثَّنَاءِ))
((Atakayetendewa jambo jema akamwambia aliyemtendea: ”Allaah Akujaze kheri” basi amefikia upeo wa kumsifu)) - At-Tirmidhiy [2035], na angalia: Swahiyh Al-Jaami’ [6244] na Swahiyh At-Tirmidhiy (2/200).