093-Hiswnul-Muslim: Du’aa Kwa Aliyekuombea Allaah Akubariki
Hiswnul-Muslim
093-Du’aa Kwa Aliyekuombea Allaah Akubariki
[204]
Atakapokuombea mtu:
بارَكَ الله
Ujibu:
وَفيكَ بارَكَ الله
Wa fiyka Baaraka-Allaahu
Na wewe Allaah Akubariki[1]
[1]Kauli ya ‘Aaishah (رضي الله عنها) - Ibn As-Sunniy (Uk.138) [278] na angalia: Al-Waabil Asw-Swayyib ya ibn Al-Qayyim (Uk. 304) tahqiyq Bashiyr Muhammad ‘Uyuwn.
