100-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Anaesafiri Kuwaombea Wakaazi
Hiswnul-Muslim
100-Du’aa Ya Anaesafiri Kuwaombea Wakaazi
[211]
أَسْتَوْدِعُكُمُ اللَّهَ الَّذِي لاَ تَضِيعُ وَدَائِعُهُ
Astawdi’ukumu Allaha Alladhiy laa tadhwiy’u wadaai’uhu
Nawaacha katika amana ya Allaah Ambaye hakupotei amana Kwake[1]
[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه) ((Anayeazimia kusafiri, amwambie aliyebakia:
أَسْتَوْدِعُكُمُ اللَّهَ الَّذِي لاَ تَضِيعُ وَدَائِعُهُ
Ahmad (2/403), Ibn Maajah (2/943) [2825] na angalia: Swahiyh ibn Maajah (2/133)
