110-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ukisikia Mlio wa Jogoo Au Wa Punda
Hiswnul-Muslim
110-Du’aa Ukisikia Mlio wa Jogoo Au Wa Punda
[228]
قال رسول صلى الله عليه وسلم: ((إِذَا سَمِعْتُمْ صِيَاحَ الدِّيَكَةِ فَاسْأَلُوا اللَّهَ مِنْ فَضْلِهِ؛ فَإِنَّهَا رَأَتْ مَلَكاً، وَإِذَا سَمِعْتُمْ نَهِيقَ الْحِمَارِ فَتَعَوَّذُوا بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ؛ فَإِنَّهُ رَأَى شَيْطَاناً))
Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) amesema: ((Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Allaah fadhila Zake kwani huwa amemuona Malaika. Na mkisikia mlio wa punda basi ombeni kinga kwa Allaah, kwani huwa amemuona shaytwaan))[1]
[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (6/350) [3303], Muslim (4/2092) [2729].
