125-Hiswnul-Muslim: Du’aa Anayeogopa Kupatwa Na Kijicho

Hiswnul-Muslim

125-Du’aa Anayeogopa Kupatwa Na Kijicho

www.alhidaaya.com

 

 

 Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[244]

 إِذَا رَأَى أَحَدُكُمْ مِنْ أَخِيهِ أَوْ مِنْ نَفْسِهِ أَوْ مِنْ مَالِهِ مَا يُعْجِبُهُ فَلْيُبَرِّكْهُ فَإِنَّ الْعَيْنَ حَقٌّ

Mmoja wenu akiona kwa ndugu yake au kwake, au mali yake kinachomfurahisha akiombee baraka kwani kijicho ni kweli[1] 

 

 

Useme:

اللّهُـمَّ بارِك عَلَـيه أو اللَّهُمَّ بَارِك عَلَيْكَ

Allaahumma Baarik ’alayh  (au) Allaahumma Baarik ‘alayka

 

Ee Allaah, Mbariki kwa hicho  au Allaah Akubariki kwacho

 

 

 

[1]Hadiyth ya ‘Aamir bin Rabiy’ah na Sahl bin Hunayf (رضي الله عنهما)  - Ahmad (4/447), Ibn Maajah [3509], Maalik [1697, 1698] na ameisahihisha Al-Albaaniy (رحمه الله) katika Swahiyh Al-Jaami’ (1/212) na angalia: Tahqiyq Zaad Al-Ma’aad ya Al-Arnaawuwtw (4/170)

 

 

Share