Imaam Ibn Baaz: Haijuzu Kuwakosoa Viongozi Hadharani
Haijuzu Kuwakosoa Viongozi Hadharani
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Kuwakosoa viongozi na kutaja makosa yao hadharani au katika minbari si katika manhaj ya Salaf, kwani hiyo inapelekea katika chokochoko (fitnah, mvurugano) na mapinduzi.”
[Uswuwl Ahli-Sunnah Hidaayah wa Amaan (64)]
